Featured Post

When Your Prayers are Blocked

Image
  The enemy sets up limitations that make us miss our answers. The Kingdom of darkness blocks the answers to our prayers through diversion, delay, and deception. The enemy stands in the way of the believer's testimonies, blessings, victories, opened doors e.tc which are fruits of the answered prayers. The work of the devil is to steal, kill, and destroy (John 10:10). In Daniel 10:12-14, the Bible records that Daniel's prayer was answered by God immediately. However, an Angel was assigned to deliver the answers but was held hostage by the prince of Persia for twenty-one days. Many believers pray and receive answers but the answers to their prayers are obstructed by powers of darkness.  Do not, therefore, be discouraged and lose hope in God if you do not receive answers to your prayers timely. You need to understand that God answers prayers.  In Mathew 13:54-58, The Bible records an account where Our Lord Jesus was limited to perform miracles and heal those afflicted by the...

Best kenyan Praise and worship songs of all Time


Do you love praising and worshipping our God? 

I would like to assure you that our God loves and treasures our adoration.
He created us to worship Him. Every time we worship Him, His presence comes down to us. What a blessing to be in the presence of our maker! Our souls receive every blessing craved. His presence is food to our spirit. His presence is victory our victory, power, redemption, breakthrough, uplifting, healing, joy, love, all goodness in the presence of God. (Psalms 7:17, Psalms 9:1, Psalms 95:1-3, Psalms 100:4-5, Psalms 107:21-22, Philippians 4:6-7)

Let's worship and praise Him in truth and spirit. Praise Him without considering your current circumstances. Here is a list of loved and powerful African praise and worship songs.


Common Worship songs.
1. Ni wewe..... ni wewe Bwana..X4
Ni wewe....unatujali..unatupenda...kiongozi...mlinzi...unastahili sifa na utukufu..Alfa na Omega...mwenye nguvu...twakupa heshima.

2. Nimuabudu nani  mimi,  kama siyo wewe. Nimuinue nani Mimi,  kama siyo wewe? Hakuna mw engine wa kuinua, ila ni we we Jehovah...Ila in we we JEHOVAH.

3. Tunakuabudu Bwana. Tunakuabudu.
Tunakuinua bwana x2
Wastahili ewe bwana..X4 kupokea utukufu.

4. Ni wewe tu Bwana....ni we we tu x2

5. How excellent is your name oh lord x6 How mighty is your name Oh Lord x 6, How precious, How lovely, How worthy, How faithful, How beautiful, How wonderful. 

Swahili version: Jina Lako litukuzwe, Bwana x 6

6. You reign...you reign .. in power and majesty,  you reign forever more...x3

7. Kama siyo wewe... tungekuwa wapi  sisi x2 Umejawa na rehema, na nehema tele.

8. Baba ...sisi tunakuabudu, mbele zako tunainama...sisi tunakuabudu...mikono zetu tunainua...sisi tunakuabudu.

9 Ni wewe  Wa kuabudiwa ni wewe x2 Wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe mwenye nguuvu na uweza ni we we.

10. Umetukuka nakuheshimu...hakuna mwengine kama wewe ...wewe mungu.... Baba Yangu.....nakuinua.. nakuabudu.

11. You are the pillar that holds my lifex2 Master Jesus you are the pillar that holds my life,..you are the pillar that holds my life.

12. Baba Wa mbinguni.. Hakuna kama wewe x2 Baba waweza yote, hakuna kama wewe, Baba wa mbinguni, hakuna kama wewe.

13. Wewe in Mungu Wa ajabu umewashangaza wengi, hakuna aliye kama wewe Mungu Wangu....
Wewe ni Mungu Wa miujiza....
Wewe ni Mungu Wa upendo....
Nitainua macho yangu...Nitizame milimani...msaada wangu watoka wapi...ni kwa mungu
Yesu wangu ...umeiponya roho yangu...kweli wewe ni baba wangu nami ninakushuru.

14. Come and reign, Holy Spirit reign, we welcome you to come and reign.

15. Let your living water flow over my soul ,let your Holy spirit come and take control, in every situation that has troubled my mind
All my cares and burdens unto you, I roll.

16. Natamani kufanana nawe x2 siku zote za maisha yangu......maisha yangu nayakabidhi kwako, uhai
Shiriki nawe...
Bila kukata Tamaaa...
Wamebarikiwa wanaotafuta uso wake mungu baba....wameinuliwa,watafanikiwa,wana amani..sema uso ...wake mungu baba.

17. Baba.... Mimi ninakuabudu x2 mbele zako ninainama...Mimi Nina kuabudu....mikono yangu Ninainua, Mimi ninakuabudu.
Sisi wanawako tunakuabudu, Angalia Baba.....x4
Sema Anglia Bwana...angalia Jehovah...

17 we give you glory.....we give you glory and the honor .....twakupa sifa...twakupa sifa na utukufu twakupa sifa Abba father/Jehovah Nisi,Shamah,Jire.... twakupa sifa na utukufu

18. Unawezax2 Baba Unaweza hakuna kama wewe. Wainua, Wainua, Bwana Wainua, hakuna kama wewe. Unatsha, wastahili..

19. Mataifa yote yanakufahamu kuwa wewe in Mungu usiyeshindwa x 2
Usiyeshindwa x2 wewe ni mungu usiyeshindwa...usiyeshindwa usiyeshindwa wewe ni mungu usiyeshindwa.
Makabila yooote /na kanisa lako/ na viumbe wote,yanakufahamu kuwa wewe ni Mungu...usiyeshindwa.

20. Lord I lift your name on high
Lord I love to sing you praises
Am so glad you are in my life
Am so glad you came to save us x2
You came from heaven to earth to show us the way
From the earth to the cross, my debts to pay
From the cross to grave, from the grave to sky l
Lord I lift your name on high.

21. Baba Wa mbinguni, nyosha mkono wako...watu wako wauonee, walisifu jina lako.

23. Eh Mungu wa miungu, umetukukaaa, muumbaji Wa vyote, duniani na mbingu, tunakuinamia....x2 Wa ajabu...we we Wa ajabu Wa ajabu we we Wa ajabu...mfalme Wa wafalme mwenye.

24. Wa kuabudiwa...wakuheshimiwa ni wewe Mungu...Wa kupewa sifa name utukufu ni wewe Mungu.

25. Bwana Mungu, nakuomba sasa...unifanye Kuwa kama upendavyo. Maana we we ni mueza yote...unifanye kama we we upendavyo..
Unifinyange...x7

26. Hakuna Mungu kama we wee, hakuna popote.x2
Hakuna mwenye Isharra kubwa...kama wee  ewe  mungux2
Nguvu za Giza, zimeshindwa...kwa jina LA bwana Yes.

27. Wewe ni Mungu, Amen hallejah x 2

Unatawala,  amen halleluja x2

28. Nani kama wewe, nakuinua Mungu wangu leo

Nani ka kama wewe, nakuupenda  x4

Nani kama wewe Bwana, hakuna, mwingine kama wewe Bwana, hakuna x4

29. Sitaabudu miungu mingine, iliyo na mfano wowote, sitaabiga magoti ,yangu niizujudu, nitakusanya zadaka zangu ziwe manukato, kwa Yesu, yastahili sifa (repeat)

Naleta sadaka za sifu kwako Bwana, heshima na mamlaka, zipokee

mtakatifu, mtakatifu, nakuita mtakatifu, Oh Yesu, Wewe ni Mtakatifu...(repeat)

Pokea sifa, na utukufu, na heshima.. Bwana.

30. Mfalme mwema, mwaminifu, Bwana, Muweza yote, una nguvu, haushindwi, pokea, utukufu (repeat)

Twakupa, heshima, na sifa zote, ewe Mungu, umetukuka (repeat)

31. Wa ajabu, wewe wa ajabu, mfalme wa wafalme mwenye nguvu, tunakuabudu (repeat)

32.  Mighty man of war, lion of Judah, we bow down and worship you. yahweh, Yahweh, come and do what only you can do.

33. Jehovah is your name x2 mighty warrior great in battle, Jehovah is your name. (repeat)

34. Mimi siwezi, jambo lolote, ila wewe Yesu x2

(Repeat)

35. Aliko Baba, Yote, yanawezekana,aliko Baba yanawezekana (repeat)

Aliko Yesu, yote yanawezekana....repeat

Aliko Roho, Yote yanawezekana....repeat .

Yoteeh, yanawezekana, yanawezekana.....

36. I am the Lord that healeth thee, Iam the Lord Your healer...I send my word and healed your disease! I am the Lord, your healer (repeat)

Mimi ni Bwana, nikuponyaye, mimi ni Bwana mponyaji, nilituma neno langu upone, mimi ni Bwana...mponyaji.

37. Niguze tena 

38. Ninamjua, aliyemwamba, aliyeniokoa, ni bwana Yesu (repeat)

39. Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya, moyo wa kunyenyekea, na kubondeka mbele zako. (repeat)

40. Vizazi hadi vizazi, vyakufahamu wewe. Uliye Mungu wa kale na uliye Mungu wa leo, kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe........umetukuka, umeinuliwa, wewe Bwana.

Kweli wewe,  wewe ni Mungu. Kweli wewe, wastahili....

Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi. Umejifika utukufu. Wewe ni Mungu. (Repeat)

41. One more time x3 Lord I need your touch.

42. There is power in the name of Jesus, x2. To break every chain, break every chain, break every chain.

There is annointing in the name of Jesus.

43. You are a miracle worker x2. Come and do a miracle. A miracle today. Come and do a miracle, a miracle today....repeat.

Your name is Yahweh, your name is Yahweh, you are a miracle working God, your name is Yahweh...repeat

Destiny changer....you are a destiny changer. Come and change a destiny, a destiny today. Come and change a destiny. Destiny today....

Your name is Yahweh.....your name is Yahweh...repeat

44. We bow down, and worship, Yahweh

(Repeat)

45. Ametenda, ametenda, ametenda, Yesu, Ametenda.

(Repeat), amefanya

Moyo wangu, hauwezi kukusifu kweli, ila sifa zangu hizi , bwana zikubali

46. Bwana ni mchungaji wangu,Sitapungukiwa kitu, hun’laza penye majani mabichi,Huniongoza kwa maji matulivu

Chorus: Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi, Nitakaa nyumbani mwa Bwana, Siku zote za maisha yangu.

Hunihuisha nafsi yangu, Hun’ongoza kwa njia za hakiNipitapo bondeni mwa mauti,
Sitaogopa wewe u nami.

Gongo lako na fimbo yako, Vitanifariji mimiWaandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu

47. Hakuna Mungu Meingine, aliye kama wewe. Hakuna Mungu Mwingine, aliye kama wewe. (Repeat).

PRAISE SONGS.
1. Asante Yesu Kwa kuwa wewe ni mwema.
2. Nitatangaza neno lake bwana kwa mataifa mbalimbali
3.Yaokoa injili oh....yaokoa... Iende mbele injili oh!
4. Nilifurahi nilipoampiwa twende nyumbani mwa Bwana....nilirukaruka,nilichezacheza
5. Moyo wangu.... sifu bwana sifu bwana...siku zote..maishani haleluhya...Imba imba....kwa shangwe kubwa haleluyah....
6. Inuka msifu bwana x2 kwa maana fadhili zake zadumu hata milele
Tembea, zunguka, turuke, tucheze, tudansi
7. Oh..oh..!my God is good oh x8
8.you are so faithful so faithful so faithful...that's why I praise you in the morning......
9.my God is good I will lift his name higher, everywhere I go I will lift his name higher.....x3
10 All the other gods,they are the works of men but you are the most high God, there is none like you...
11 Ebenezer Ebenezer Ebenezer what a wonder you are, I love you so much Ebenezer 
12. Ainuliwe bwana wa Mabwana, ainuliwe ametenda mema....
13. Tambira Jehovah x4
14. Msalaba Wa Yesu...msalaba...umeniokoa dhambi Halehya..
15. Mungu yu mwema ametenda mema...roho yangu imutukuze bwanax4
16. Jehovah twakuabudux5
17. Nimempata asiyebadilika...Yesu haezi badilika
18. Mwamba mwamba x 3 yesu ndiye mwamba...
19. Simba wa Yudah, ananguruma..x2
20. Shangilia Yesu anawezax3
Shangilia Yesu no mshindi, dakitari, anapenda,
21. Hakuna Mungu kama we we Yahweh..Ah ahx2
Unaweza..unaweza eh eh hakuna Mungu kama we we Yahweh eh.
22. We are praising the living God,x3 Hallelujah Jesus Christ...
23. Bwana Mungu Wangu...ninakupenda. Umefanya mambo ya ajabu...umefanya mambo oh mambo ya ajabu.
24. Niko chini ya mwamba, mwamba juu yangu,...Yesu nifiche, Niko chini ya mwamba...ambia adui zako... Niko chin I ya mwamba Yesu nifiche... Niko chini ya mwamba.

25.Jehovah you are Mighty God, King of Glory you reign, Papa you are the one I love.. Serving you is my delight. I rather be a door keeper in your house, than to dwell in the gates of the wicked, because I know that you Love me my Lord, serving you is my delight..

26. When Jesus say Yes, nobody can say no. When Jesus uplifts you, nobody can say no.

27. Alpha, Omega, you are worthy of my praises today.

28. Nimukimbilie nani eh ehe eh.. Namkimbilia Yesu, mwokozi wangu.

29. Ametenda mema, huyu Yesu ndiyo maana mimi namuabudu.

30. Katikati ya Miungu, hakuna Mungu kama wewe. Mungu  kama wewe.

31. All the other gods, they are the works of men. But you are the most high God, there is none like you x4 (Jehovah, you are the most high God) x3 (You are good and your mercies are forever... Hallelujah )x 2

32. Mwamba mwamba, mwamba mwamba, mwamba mwamba Yesu ndiye mwamba.

33. Moyo wangu, sifu Bwana sifu Bwana. Siku zote eh Hallelujah Hallelujah, Imba imba ah kwa shangwe kubwa, Halelujah. 

34. Nani kama wewe, mshindi wa washindi? Hakuna kama wewe mshindi wa washindi. Ndiyo maana tunasema, hakuna mwingine chini na juu, hakuna mwingine kama Yahweh.

35. Sifa na utukufu ni zako ewe Mungu wangu x 6

Sifa zako zavumaa x8

36. Bwana wa Mabwana, umeinuliwa, umeinuliwa, umeinuliwa x3 (Back up team repeats).

Unayetupenda, umeinuliwa, umeinuliwa, umeinuliwa........

37. Alpha, Omega, you are worthy of my praises today x4

Receive my praise oh Lord, (leading)

Receive my oh Lord, blessings and honor i give unto you, receive my praise o Lord.

38. Wakusifiwa, wakuabudiwa, ni wewe tu Mungu wa Miungu x6

Oh niwewe tu Bwana (leading)

Mungu wa Miungu, oh, Mungu wa Miungu

hakuna kama wewe Bwana (leading)

Mungu wamiungu, oh oh, Mungu wa Miungu.

39. Hakuna , Silaha yoyote, iliyotumwa, kinyume chetu, itakayofaulu x4

Oh maneno maovu, yaliyo nenwa na waliohai na waliokufa, chini ya jua hata nchi kavu, haitafaulu (leading)

40. Mushukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema, kwa maana, fadhili zake,  ni za milele x4

41. When you see me dance, i dance like a winner man x4(repeat)

When you see me jump, i jump like a winner man x(repeat)

42. Yu hai Jehovah, yu hai milele, mataifa tumsifu, Yesu yu hai (repeat)

43. Papa, i praise your name you are worthy of my praise (repeat)

Papa, i lift your name you are worthy of praise(repeat)

You are worthy of praise (repeat)


Which other contemporary worship and praise song/s do you love and you want us add to this list?

Be blessed will uplift you when you uplift Him, He will increase you, make you prosperous and nothing good will he withhold from you.
Every day praise and worship God and you will see your life turn around.


Comments

  1. Nataka audios za nyimbo hizo hapo juu, Je waweza kunipa? nijulishe please.....

    ReplyDelete
  2. This and much more audio, lyrics and video at http://sifalyrics.com

    ReplyDelete
  3. Wow glory to God. Any other new songs. both worship and praises?

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...Shalom! I Love It Indeed They Are Really Blessing Praise And Wrshp.

    ReplyDelete
  5. AFK Arena Tier List the top best legends in the game to concentrate on at clearly the starting stage and to the till end. We should take a gander at our AFK Arena.
    AFK Arena Before starting the game, you should know by a wide edge a colossal piece of the bits of getting concerning your legends. For the various stages, as on timetable, mid.
    Locate the best amazing individuals for your social occasion in this AFK Arena level once-wrapped up. Legends are molded subject to how strong they are and how much respect they bring.
    https://afkarenatierlist.com

    ReplyDelete
  6. Hallelujah, let everything that has breath praise the Lord.This is our core purpose as long as we live.

    ReplyDelete
  7. This is great,come ye let's adore the most high

    ReplyDelete
  8. This is a great list. You can find this and more gospel songs at: https://www.mysongbooks.scaptedesigns.com/
    Or download MySongbooks app here: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.scapteinc.mysongbooks

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

When Your Prayers are Blocked

Victory Over Demonic Limitations